Kutoka kushoto Dilip Musale , Mkurugenzi wa wa kituo Dr.Alex Lengeju wakishuhudia Mama Salma Kikwete na mtoto wa SOS ( Innocent Sutta) wakikata keki wakati Mama Salma Kikwete alipotembelea katika kituo hicho kilichopo Mwenge jijini Dar es salaam, Mtoto Innocent Sutta ni mtoto mwenye kipaji kutoka katika kituo hicho na amepata nafasi ya kwenda kusoma nchini Ghana.