Wawakilishi toka vijiji mbalimbali vya SOS Tanzania bara na Zanzibar walikutana Mjini Unguja kwa siku tano kuandaa Kongamano la Vijana na uhamasishaji wa kampeni ya Nijali (Care for Me)
Haikuwa vyema bila kutembelea eneo la tukio ambapo Kampeni ya CARE for ME ilifanyika, Wawakilishi waliwasili Wilaya ya Kusini Magharibi na kupata wasaa wa kujadili na Mashea wa Vitongoji mbalimbali vya Wilaya ya Kusini Unguja
Mwenyekiti wa Maandilizi kutoka Arusha (Paulo Hella) akifafanua baadhi ya mambo kwa Mashea wa Vitongoji vya wilaya ya Kusini Magharibu
Wawakilishi wa SOS na Mashea wakifualia Mkutano kwa makini
Hatimaje Mkutano uliisha na kuanza safari ya kurudi Unguja
No comments:
Post a Comment