Mkurugenzi Mtendaji wa SOS Children's Villages Tanzania, Anatory Rugaikamu (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Serena wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kuchangisha Pesa kwaajili ya Kuwasaidia Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, Kampeni hiyo inafanywa na SOS Children kwa kushirikiana na Kampuni ya Montage Ltd.
Thursday, 21 August 2014
Wednesday, 20 August 2014
Matukio ya Uzinduzi wa Kampeni ya Nijali (Care for Me)
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitia saini sehemu maalumu kutoa ujumbe wake mara baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam 7/2/2013.
Subscribe to:
Posts (Atom)